Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu leo August 24, 2017 kimekutana na Waandishi wa Habari Dar es Salaam kutoa Tamko kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea nchini yanayosababisha uvunjifu wa haki za binadamu.
Kituo hiko kimesema kuwa hali hiyo imejitokeza kwa kasi hasa katika kipindi kifupi baada ya kuzinduliwa taarifa ya Haki za Binadamu ya nusu mwaka.
Kwenye video hii hapa chini kuna kila kitu…bonyeza play kutazama.
ULIPITWA? POLISI NYUMBANI KWA LISSU, WAMKAGUA TENA!!!!