Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam ‘DAWASA’ kupitia kwa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Romanus Mwang’ingo leo August 29, 2017 imebainisha miradi kadhaa ambayo imeshakamilika kwa ajili ya kusambaza maji DSM na baadhi ya miji ya Mkoa wa Pwani.
Kupitia miradi hiyo mamlaka hiyo kwa sasa ina uwezo wa kuzalisha lita 502 kwa siku, lengo likiwa ni kuwafikia wananchi zaidi ya milioni 5 ambao watahitaji matumizi ya maji hadi kufikia lita 544 kwa siku.
Video hii hapa chini ina kila kitu bonyeza play kutazama!!!
ULIPITWA? “Mara nyingi tafiti haziunganiki na mazingira halisi” – RC Mongella