Mfanyabiashara Yusuf Manji ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo August 31, 2017 kujitetea katika kesi inayomkabili ya dawa za kulevya kutokana na sababu za afya.
Hayo yamesemwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha baada ya Wakili wa Serikali Timony Vitalis kusema kwamba kesi hiyo inaendelea na ushahidi ambapo hata hivyo, kesi hiyo haiendelea baada ya kutolewa taarifa ya Magereza kwamba Manji anaumwa na amepewa mapumziko ya kitanda.
Baada ya hayo kuelezwa, kesi imeahirishwa hadi September 18, 2017.
ULIPITWA? “Moyo wa Yusuf Manji una vyuma” bonyeza play hapa chini kufahamu zaidi
ULIPITWA NA HII VIDEO? Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda kwenye sakata la dawa za kulevya, tazama hapa chini kujionea
HAUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO kwa wewe wa ANDROID unaweza kubonyeza hapa moja kwa moja kwenda kui-download mtu wangu, HABARI ZOTE KIGANJANI MWAKO >>> APP MPYA BONYEZA HAPA