Kuna taarifa zilisambaa mitandaoni zikidai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amefuta mchakato wa kupata viongozi katika kanda zote kutokana na mchakato kuingiliwa na kambi zinazojipanga kuweka mgombea wao wa Uraisi mwaka 2020.
Msemaji wa CHADEMA Tumaini Makene ameongea na AyoTV na millardayo.com na kusema yafuatayo >>> “Watanzania waipuuze hiyo taarifa… ni taarifa feki na hatutaki kusumbuana na waliofoji, badala ya kutumia nguvu ya kutengeneza vitu feki kama hivi wangetumia nguvu hiyo kwenye kutatua matatizo ya nchi”
GWAJIMA AONGEA KUHUSU KUILETA PRIVATE JET YAKE TANZANIA, TAZAMA HAPA CHINI
AyoTV yamtembelea Mzee Kikwete Msoga, asema ‘nanenepa siku hizi, mlikua mnanifuja‘ TAZAMA HAPA CHINI KUMTAZAMA NA KUMSIKILIZA MWANZO MWISHO
HAUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO kwa wewe wa ANDROID unaweza kubonyeza hapa moja kwa moja kwenda kui-download mtu wangu, HABARI ZOTE KIGANJANI MWAKO >>> APP MPYA BONYEZA HAPA