Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo September 14 2017 anafungua mkutano wa baraza la uongozi la kituo cha madini cha Afrika.
Mkutano huo ni wa 37 toka kituo kimeanzishwa ili kutafsiri kwa vitendo jinsi gani rasilimali madini inaweza ikatumika kuleta maendeleo.