Katika hali ya kusikitisha mtoto wa miaka 17 mwenye ulemavu wa ngozi ‘Albino’ ametekwa na watu wasiojulikana na baadaye mwili wake kupatikana ukiwa umeharibiwa vibaya baada ya watekaji hao kumpasua kichwa na kuchukua ubongo wa mtoto huyo.
Katika tukio hilo lililotokea Msumbiji watekaji hao pia walipasua miguu na mikono ya mtoto huyo na kuondoka na mifupa yake huku wakiacha nyama.
Kamanda wa Polisi wa eneo la Tete lilipotokea tukio hilo ameeleza kuwa uchunguzi bado unaendelea kuwabaini wahalifu hao.
ULIPITWA? Tamko la Jukwaa la Katiba Tanzania kuhusu Katiba Mpya
Ulipitwa na hii?TUJIKUMBUSHE! Vitu vya kukumbukwa kila September 11 Marekani
Hii je? Matumizi ya Bilioni 227.76 za msaada ilizopokea Wizara ya Afya