September 23, 2017 ziliripotiwa taarifa za kutokea vurugu kwa baadhi ya baadhi ya wanachama wake kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ‘UVCCM’ Wilaya ya Arusha Mjini.
Ayo TV na millardayo.com zimempata Martin Munis ambaye alikuwa Mwenyekiti wa UVCCM na msimamizi wa mkutano huo ambapo amekanusha taarifa hizo akisema hapakuwa na vurugu zozote zilizotokea
“Ninao ushahidhi Madiwani wanaohamia CCM wananunuliwa” – MBUNGE NASSARI