Baada ya stori kuzidi kusambaa katika mitandao ya kijamii zikidai kuwa waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo DR Harrison Mwakyembe kuwa ameamua kuzifuta tuzo za muziki Tanzania na shindano la Miss Tanzania kwa madai kuwa limejaa ubabaishaji.
AyoTV ilibidi kufuatilia kwa kina ili kubaini ukweli wa Stori hizo kutoka kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) Godfey Mungereza ukweli ukoje? Ni kweli mashindano hayo yamesitishwa
“Alichozungumza ni kwamba walimnukuu sio sahihi kuwa hizo tuzo zimefutwa hawakumuelewa mh waziri anachomaanisha ni kuwa hatovumilia waendeshaji wababaishaji katika masuala ya urembo na mashindano kwa ujumla yanayohusisha masuala ya zawadi”>>> Godfrey
LULU DIVA KAFUNGUKA: Ni baada ya kukutana na Jah Prayzah