Leo september 26, 2017 Serikali ya Tanzania pamoja na ya serikali ya Korea kwa pamoja zimezindua mfumo mpya wa kuhifadhi nyaraka za umiliki wa ardhi kwa njia ya kielektoniki nchini.
Kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Ardhi Angeline Mabula mfumo huu utasaidia kwa kiwango kikubwa kutatua migogoro ya ardhi na hii ni kutokana na namna ya sasa ya kutunza nyaraka za umiliki wa ardhi tofauti na njia za analogia ambazo zimekua zikitumika ambazo zilileta changamoto katika kuwa na rekodi halisi za umiliki ardhi.
Ulipitwa na hii? “Walitishia kutupiga risasi wakachukuwa ng’ombe wetu” – Wanakijiji
Hii je? “Tumeukalia utajiri, wengine wanauchezea tu” – Rais Magufuli