Wataalamu wameeleza kuwa mazoea ya kutabasamu humfanya mtu avutie zaidi kuliko mtu anayejiremba au anayetengeneza mwili wake kwa kwenda gym, kufanya mazoezi na mengineyo.
Utafiti mpya uliofanya na Wanasaikolojia kutoka Chuo Kikuu cha Swansea Uingereza wameeleza kuwa watu wenye nyuso za furaha mara nyingi huwa na afya nzuri na hata miilli yao huonesha kushamiri kila siku tofauti na wasio na nyuso za furaha.
Mhadhiri wa Saikolojia wa Chuo Kikuu cha Welsh Dr Alex Jones amesema “muonekano wa sura ni kitu cha muhimu sana, ni kama urembo wa mwili kuliko aina yoyote ya kujiremba kwani siri ya kuwa na muonekano bora ni kuwa na tabasamu halisia.”
Ulipitwa na hii? Sasa hivi kumiliki ardhi kila kitu kinakua Digital