Katika kuhakikisha linakomesha vitendo vya wizi wa umeme, Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania, Tanesco Mkoa wa Kagera, limeendesha operesheni maalumu ambayo ilikuwa na lengo na kuwabaini wezi wa umeme kisha kuwachukulia hatua.
Ayo TV na millardayo.com zimezungumza na Steven Maganga, Afisa Usalama wa Mkoa wa Tanesco, Kagera na kuelezea operesheni hiyo na kusema kuwa ni endelevu ikiwa na lengo la kuwabaini wanaojiunganishia umeme kinyuma cha sheria.
UFAFANUZI: TRA kuhusu kutoa taarifa unaposafiri na kiwango kikubwa cha fedha