Kufuatia kifo cha ghafla kilichompata Dr.Njunwa Kaena ambaye alikuwa Mhandisi na Mshauri wa Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji ,Waziri wa Wizara Charles Mwijage hiyo ameeleza jinsi walivyoishi nae na mchango wake mkubwa katika wizara hiyo.
Waziri Mwijage ameeleza kuwa hadi mauti inamfika Dr Kaena alikuwa amebuni mtambo wa kubadilisha magamba ya migombo na kuwa nyuzi za kutengenezea nguo huku akiongeza kuwa alikuwa akitoa mchango mkubwa katika serikali kwa upande wa kubuni na kuanzisha mitambo mbalimbali.
Ulipitwa na hii? DC Karagwe baada ya kuzindua Mradi wa MILIONI 360 wa Visima vya Maji