Joshua Mwankunda ambaye ni Meneja wa Idara ya Urithi na Utamaduni katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro ameeleza kuhusu nyayo za binadamu wa kwanza zilivyopatikana na gharama zilizotumika katika ujenzi wa makumbusho ya Olduvai Gorge.
Ulipitwa na hii? UKWELI KUHUSU NGUVA: Ni SAMAKI au BINADAMU? Analiwa?