Ishu ya Diamond Platnumz kuzaa na Hamisa Mobetto inawezekana imeyumbisha penzi la Diamond na mama watoto wake Zari, licha ya Diamond kuomba radhi na kukiri kukosea inaonekana Zari kama bado amekasirika na hatujaona kumtakia kheri ya kuzaliwa kupitia social network zake, sasa hivi ukifuatilia account zao kila mmoja amefuta picha za mwenzake na kuacha picha mbili tu.
Diamond na Zari kinaendelea nini?