Mkuu wa Mko wa Mwanza John Mongella jana aliahidi kumlipia bili ya maji Bi. Veronica ambaye ni mlemavu wa miguu baada ya kushindwa kulipa Tsh 140,000 ambayo ni malimbikizo ya miezi mitatu mfululizo.
RC Mongella leo October 6, 2017 alifika nyumbani kwa Bi. Veronica Mtiro ambaye anaishi Igoma, Mwanza akiwa na Watumishi wa Mamlaka ya Maji Safi na usafi wa Mazingira Mwanza Mwauwasa.
RC MONGELLA: “Nawapigia timing, bado sijawaweka vizuri, siku nikiibuka itakuwa kilio”