Kama unakumbuka moja ya ishu iliyochukua headlines siku za nyuma ni kutakiwa kupimwa mkojo kwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu baada ya kukabiliwa na kesi ya uchochezi. AyoTV na millardayo.com imempata Mkemia Mkuu wa Serikali Prof. Samwel Manyele ambapo amejibu kwa nini wanapima mkojo kwenye ishu kama hizo
‘Kinachoweza kusababisha matatizo ya akili ni dawa za kulevya sasa ili tuweze kumuhakikishia mpelelezi kuwa mtu huyu alikuwa anatumia bangi inabidi tupime kinachoweza kusaidia kupima kama mtu alikuwa na akili timamu, kuna madereva kuhusu ajali za barabarani, mauaji ya matumizi ya silaha, matamshi hatarishi, yote haya ni maamuzi ya mpelelezi’
MFUMUKO WA BEI: Ofisi ya Taifa ya takwimu yatoa taarifa ya mwezi September 2017, Bonyeza play hapa chini kutazama