Mamlaka ya mapato Tanzania TRA katika miezi matatu imefanikiwa kukusanya kodi zaidi ya trilioni 3.6 kama jumla ya mapato yake, ikiwa ni sawa na ukuaji wa asilimia 1.2 ukilinganisha na miezi mitatu ya ya mwanzo ya mwaka jana.
Ulipitwa na hii? TRA kuhusu vituo vya huduma za pamoja mipakani