Global Education Link ambao ni Mawakala wa vyuo vya nje ya Tanzania wamefanikisha tena kama ilivyo kawaida yao awamu nyingine ya kuwaunganisha Wanafunzi wa Tanzania kwenda kusoma nje ya Tanzania.
Wanafunzi wa Kitanzania 80 wenye ndoto za kusoma nje ya Tanzania wameondoka kwenda China na India likiwa ni kundi la 5 kutoka G.E.L na wengine wanatarajia kuondoka soon, hii video hapa chini ina taarifa kamili.