Kuna Mwanamke alijitokeza na kuangua kilio wakati Rais Magufuli anahutubia Mwanza ambapo alisema shida yake kubwa ni kutapeliwa ardhi yake ambapo baada ya kusikia kilio chake Rais Magufuli alimuagiza Mkuu wa Mkoa John Mongella kwanza kumpa huyo Mama ulinzi na kisha kufatilia huo mgogoro.
Sasa saa 21 baada ya Rais Magufuli kumaliza ziara yake Mwanza na kuondoka, Mkuu wa Mkoa John Mongella ameingia mguu kwa mguu kufatilia… tazama kwenye hii video hapa chini kuona kila kitu
Video ya huyo mama akiangua kilio mbele ya Rais Magufuli ndio hii hapa chini unaweza kujionea mwanzo mwisho kuanzia ilivyokua
VIDEO: Pesa alizogawa Rais Magufuli Mwanza, amkumbuka Mzee aliemchangia Elfu 10 ya kuchukua fomu ya kugombea…. PLAY HAPA CHINI KUJIONEA