Kutana na Patrick Chokala, Balozi Mstaafu wa Tanzania nchini Urusi kuanzia mwaka 2002 mpaka 2008 ambapo kipindi hicho ndicho alichosema “Tajiri Mtata” Dr. Luis Shika aliishi Urusi.
Mr. Chokala amethibitisha kwamba ni kweli akiwa Balozi nchini Russia Dr. Luis Shika alipata matatizo ya kutekwa na watu baada ya kuonekana kwamba ana pesa nyingi hivyo yeye kama Balozi wa Tanzania alimsaidia mpaka kumrudisha Tanzania.
Ameeleza ilivyokua kuanzia Dr. Shika alipoingia mikononi mwa hao Watekaji, bonyeza play hapa chini kumsikiliza mwanzo mwisho
AUDIO: MTANZANIA ANAEISHI URUSI KAZUNGUMZA KUHUSU DR. LUIS SHIKA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMSIKIA
VIDEO: Jibu atalokupa Dr. Luis Shika ukimuuliza Kwanini ana hela lakini anaishi kawaida? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMSIKILIZA