Dr. Luis Shika alifunguka kwamba yeye sio Mbabaishaji na kwamba ni kweli hizo Bilioni alizozitaja na kujinadi kununua nyumba za mnada anazo sema tu ziko Urusi.
Baada ya kushikiliwa na Polisi kwa kutokua na pesa hizo kwenye eneo la mnada, Dr. Shika alianza kuzifatilia akidai pesa zake zote ziko Urusi hivyo leo ndio amekwenda kulipia BIMA ambayo ilikua ni lazima afanye hivyo ili ndio zitumwe, mtazame kwenye hii video hapa chini leo akiwa Benki.
AUDIO: Balozi wa Tanzania asimulia walivyomsafirisha Dr. Luis Shika kutoka Urusi, bonyeza play hapa chini kumsikiliza mwanzo mwisho
EXCLUSIVE VIDEO: DR. LUIS SHIKA AONGEA BAADA YA KUTOKA POLISI, ASIMULIA YA URUSI…. BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA