Baada ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta leo November 28, 2017 Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan amemtembelea Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu anayepatiwa matibabu katika hospitali ya Nairobi baada ya kushambuliwa kwa risasi Sepember 7 mwaka huu mjini Dodoma.
Ulipitwa na hii? DC alivyogundua Walimu wanne wanaotongoza Wanafunzi
“Nilitamani sana ningekuwa kama wale ndugu zetu” –Dr Tulia