Mtanzania Zacharia ambaye ana ulemavu wa miguu ameshangaza wengi baada ya kujichanga pesa kwa miaka 3 hadi zikafika shilingi milioni 1.9 na kisha kuzipeleka ofisi za Mkuu wa Mkoa Arusha na kuomba aongezewe kiasi cha fedha anunue pikipiki ili aitumie kufanya biashara.
“Nimezaliwa na ulemavu na kilichosababisha nifanye hivi ni kwamba kazi ya kuomba omba imenichosha.” – Zacharia
Ulipitwa na hii? VIDEO: Tundu Lissu amtumia salamu Rais Magufuli (KAMA ILIVYOTUMWA)