Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla amelitaka gazeti lililoandika kwamba “Mkuu wa Mkoa Mbeya kumuandikia barua Mwenyekiti wa CCM Dr. Magufuli kumuomba radhi kwa kupoteza Kata ya Ibigi kwenye uchaguzi mdogo wa Udiwani”
“Niseme tu hizo habari ni za uongo, ni za uzushi… mimi nilichofanya ni kutoa salamu zangu na kuonyesha masikitiko yangu kwanini tumepoteza Kata ya Ibigi? inabidi makosa yarekebishwe, tathmini ifanywe na ikibidi Chama Mkoa wa Mbeya waombe radhi Mwenyekiti wa Chama na mamlaka za juu, ndicho nilichomaanisha”
Mtazame Amos Makalla zaidi akiongea kwenye hii video hapa chini
VIDEO: MEMBE AIBUKA NA KUONGEA KWENYE JIMBO LAKE LA ZAMANI… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA