Usiku wa kuamkia leo Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA) Joshua Nassari amevamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake Usa-River Arusha ambao walifyetua risasi na kuua Mbwa wake kabla ya Mbunge huyo kukimbia.
Nassari amesimulia kwenye hii video kuanzia mwanzo wa tukio mpaka mwisho…
https://www.youtube.com/watch?v=RpObM6Hxnm4
VIDEO: AGIZO LA CHADEMA KWA VIJANA NCHI NZIMA BAADA YA UCHAGUZI WA UDIWANI