Tunae Kamanda wa Polisi kwenye mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi ambae ameongea kwa ufupi kuhusu kinachoendelea baada ya kusambaa kwa ile video ya Wanawake wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja wakiwa kwenye party ya kuvishana pete ya uchumba.
Kamanda Msangi amesema watu waliohudhuria kwenye sherehe hiyo akiwemo aliesambaza video hiyo wamekamatwa na wanapelekwa Mahakamani kwani mapenzi ya jinsia moja Tanzania ni kinyume na sheria, mtazame zaidi kwenye hii video hapa chini
MWANZO MWISHO: Birthday party ya Jackline Wolper 2017 itazame kwenye hii video hapa chini