Msemaji mkuu wa Serikali ya Tanzania Dr Hassan Abbas amekutana na waandishi wa habari Dodoma kwa ajili ya kuzungumzia ripoti ya IMF kuhusu hali ya kiuchumi Tanzania inayoonesha uchumi kuwa imara ambapo pia ametoa onyo kwa baadhi ya wanasiasa ambao wamekuwa wakipotosha jamii kuhusu hali ya kiuchumi ya nchi.