Jana zilisambaa taarifa kuwa TAKUKURU haitaendelea na uchunguzi dhidi ya malalamiko yaliyotolewa na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassar na Mbunge wa Arusha Mjini Godless Lema kwa madai kuwa uchunguzi wa tuhuma za rushwa kwa waliokuwa madiwani wa CHADEMA ulivurugwa.
Sasa leo December 18 2017 kupitia account ya Instagram ya Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassar ameandika haya