AyoTV na millardayo.com imemtafuta Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DMS, Lazaro Mambosasa ili kuweza kufahamu kama ni kweli Jeshi la Polisi linamshikilia mchora Katuni maarufu nchini Masoud Kipanya.
Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza Kamanda Lazaro Mambosasa.
UJUMBE WA ASKARI MWANZA MUDA MCHACHE KABLA YA KUJINYONGA (audio)