Baada ya taarifa kusambaa katika mitandao ya kijamii kuwa Mama Margaret Gakuo mke wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amechangia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Nairobi AyoTV na millardayo.com imefanya jitihada za kufahamu ukweli juu ya hili.
Hemed Ally ni Mkuu wa Idara ya Uenezi wa CHADEMA ambaye yuko Nairobi ambaye amesema kimsingi wamepokea ushirikiano kutoka kwa watu mbalimbali lakini kuhusu suala Mke wa Kenyatta katoa au hajatoa anaweza kuliweka wazi ni Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe.
JPM alivyofika kwenye Msiba wa Mke wa Naibu Waziri Kangi Lugola
Jeshi la Polisi Arusha limefanya ukaguzi wa magari na kukutana na makosa haya