Mke wa mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombalemwiru amefariki dunia January 4, 2018 kwa ugonjwa wa kupooza huku mumewe akiwa amelazwa katika hospitali ya Muhimbili akipatiwa matibabu baada ya mbwa wake kumshambulia.
Ayo TV imeongea na msemaji wa familia hiyo Tony Ngombalemwiru ambaye ameelezea taratibu za msiba na hali ya Mzee Kingunge ambaye yupo hospitali na namna ya kuweza kumfikishia taarifa za msiba wa mke wake.
MSIBA: Mwanamuziki mkongwe wa Dansi afariki Dunia