Leo January 5, 2018 Kuna hii ya kufahamu mtu wangu wa nguvu kuhusu adhabu anayoweza kuipata mtu anayepiga makelele, iwe kwa kupiga muziki au kupaza sauti kubwa ambayo itamkela mtu mwingine, ambapo ikithibitika umetenda kosa hilo unaweza kuhukumiwa hadi mwaka mmoja jela.
Sasa Wakili wa kujitegemea, Jebrah Kambole anaelezea vifungu ambavyo vinaweza kumpelekea mtu akashtakiwa kwa kosa la kupiga kelele.
MSIBA: MWANAMUZIKI MKONGWE WA DANSI AFARIKI DUNIA
MAHAKAMANI: RUGEMARILA AMEWATAJA ‘WEZI WA FEDHA ZA ESCROW’