Ni siku tano zimepita baada Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole ku-tweet kuwa muda wowote watamchomoa kiongozi mkubwa upinzani toka DSM. Leo January 8, 2018 ameitangaza siku ya kesho kuwa ndo siku watampokea kiongozi huyo.
Namnukuu Polepole >>> “Kesho Tar 9/1 saa 3:30 Asubuhi kutakuwa na shughuli ya kumpokea Kiongozi Mkubwa wa Upinzani ambaye ameomba kujiunga na CCM na atapokelewa na Mzee Mangula Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara.”
TAARIFA KWA WANAHABARI
Kesho Tar 9/1 saa 3:30 Asubuhi kutakuwa na shughuli ya kumpokea Kiongozi Mkubwa wa Upinzani ambaye ameomba kujiunga na CCM na atapokelewa na Mzee Mangula Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara.
Ukumbi wa Checkpoint Pugu.
IDARA YA ITIKADI NA UENEZI
OND LUMUMBA
— Humphrey Polepole (@hpolepole) January 8, 2018
MEYA JACOB AFUNGUKA BAADA YA KUDAIWA KUPIGANA KATIKA UCHAGUZI DSM
BAADA YA MAMEYA WA UBUNGO NA TEMEKE KUZICHAPA, PROF JAY AMEANDIKA HAYA