Ni nyumba namba 8115 kwenye Mtaa wa Vilakazi Orlando West kwenye Jiji la Johannesburg ndiko utapoikuta nyumba aliyowahi kuishi Kiongozi maarufu wa Afrika Kusini Nelson Mandela ambayo sasa imegeuzwa kuwa Makumbusho.
Mzee Nelson Mandela aliishi hapa kwa zaidi ya miaka 40 yeye na Familia yake ambapo ndani ya nyumba hii kuna kitanda alichokua akikitumia pamoja na kumbukumbu nyingine nyingi zinazomuhusu.
VIDEO: NYUMBA ALIYOWAHI KUISHI MZEE NELSON MANDELA
MILLARD AYO ALIVYOPITA NA PIKIPIKI SOWETO SOUTH AFRICA… TAZAMA HAPA CHINI