Klabu ya Barcelona ilitangaza wachezaji ambao hawana mpango nao katika msimu huu wa usajili hivyo wanaweza kuondoka katika timu hiyo, miongoni mwao Arda Turan ambaye kwa sasa tayari amesajiliwa rasmi katika timu ya soka ya Başakşehir ya Uturuki
Taarifa kuhusu kusajiliwa kwa nyota huyo imetolewa katika ukurasa rasmi wa Twitter wa timu hiyo ya mjini Istanbul, “Istanbul Basaksehir inathibitisha kusainiwa kwa Arda Turan kutoka Barcelona”
BREAKING: Istanbul Basaksehir confirm the signing of Arda Turan from Barcelona ?? pic.twitter.com/5P1GUXDPnC
— B/R Football (@brfootball) January 13, 2018
Kiongozi wa timu ya Başakşehir amesema kitendo cha kufanikiwa kumsajili nyota huyo katika timu yake kutamfanya kuwa kinara katika Süper Lig ya Uturuki.
REKODI ALIYOIWEKA GUARDIOLA BAADA YA KUSHINDA TUZO YA KOCHA BORA WA MWEZI