Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, SACP Fortunatus Muslim akiwa katika ziara ya kikazi kukagua barabara na alama zilizowekwa barabarani na kuwasisitizia Askari wa Usalama barabarani kusimamia sheria na kuchukua hatua kali kwa madereva wanaovunja sheria.
Kamanda Muslim Alisimama na kuzungumza na askari wa kikosi cha usalama barabarani katika eneo linalotajwa kuwa hatari kwa ajali katika barabara ya Dodoma, Kondoa kupitia eneo la Koro ambako kuna kona nyingi barabarani .
IGP SIRRO: WAHALIFU WA KIBITI BAADHI YAO WAMEKIMBILIA MSUMBIJI