Leo January 16, 2018 Watu saba ambao wanadaiwa kujiunganishia bomba kuu la mafuta ya Dizeli hadi nyumbani kwao wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kusomewa mashtaka hayo.
Watu hao walikamatwa siku chache za nyuma na Jeshi la Polisi katika maeneo mbalimbali Kigamboni ambapo wote walikuwa wakifanya kazi hiyo ya kunyonya mafuta katika bomba hilo la Tanzania na Zambia (TAZAMA).
Wafanyakazi NAKUMATT walalamikia kukosa mshahara
Kampuni yajifungia kuchapisha GAZETI kwa miezi mitatu na kuomba msamaha kwa JPM na Kagame