Leo January 26, 2018 Mkurugenzi wa Azam Media, Tido Mhando amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa TBC.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video alivyofikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuisababishia Taasisi hiyo hasara ya zaidi ya Shilingi milioni 800.
WAZIRI MWIGULU ASIMAMISHA ZOEZI LA UTOAJI WA HATI ZA KUSAFIRIA (PASSPORT)