Wakili Ramadhan Maleta ambaye anamtetea aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando amezungumza na waandishi wa habari nje ya viwanja vya Mahakama baada ya kesi kuahirishwa.
Wakili Maleta amefanunua kilichoendelea Mahamani katika kesi ambayo Tido anakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi na kuisababishia TBC hasara ya Sh.Mil 887.
BREAKING: TIDO MHANDO ALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO