Weekend hii Simba na Yanga zitacheza michuano ya kimataifa, kwa upande wa Yanga wao wanacheza dhidi ya St Louis United uwanja wa Taifa Dar es Salaam wakati Simba watacheza kesho Jumapili ya February 11 2018 dhidi ya Gendamarie.
Kuelekea game hizo waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dr Lameck Nchemba ametangaza kuzitakia kheri Simba na Yanga huku akileta utani kuwa mara ya mwisho Simba kushiri michuano hiyo ya CAF Zitto Kabwe alikuwa CHADEMA.
“Mh naibu Spika na mimi nizitakie kila la kheri timu zinazocheza weekend hii hasa Simba maana mara ya mwisho Simba kushiriki michuano hii Zitto Kabwe alikuwa yupo CHADEMA”>>>Dr Mwigulu
Waziri Dr Mwigulu Nchemba akizitakia kheri Simba na Yanga zinazoanza kucheza michuano ya kimataifa huku akitania kuwa mara ya mwisho Simba kushiriki michuano ya CAF Zitto Kabwe alikuwa bado CHADEMA #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/feLktM3Z3S
— millardayo (@millardayo_) February 10, 2018
VIDEO: Simba imetangaza kumpeleka Haruna Niyonzima India