Jimbo la Kansan nchini Marekani hivi karibuni limepitisha sheria ya kutoangalia kigezo cha umri kwa atakayejitokeza kugombea nafasi ya ugavana kwenye jimbo hilo jambo lililotengeneza mwanya kwa watoto pia kutangaza kugombea.
Mpaka sasa watoto wa kiume 6 walio chini ya umri wa miaka 18 wamejitokeza kuchukua na kujaza fomu za kugombea Ugavana kwenye jimbo hilo mwezi November mwaka huu.
Watoto hao ni pamoja na Tyler Ruzich wa chama cha Republican, Aaron Colman wa Independent, Joseph Tutera Jr., wa Republican, Dominic Scavuzzo, pia wa Republican, Ethan Randleas wa Libertarian na Jack Bergeson wa Democrat.
Alichozungumza Kibatala baada ya Sugu kuachiwa, ametaja kilichokuwa kinakwamisha dhamana
LIVE: Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda amekutana na Wanasheria
https://youtu.be/TcJkqaLtF1A