Mkuu wa Mkoa Mwanza John Mongella akiwa ameongozana na Kamati yake ya Ulinzi na Usalama ametembelea Wilaya ya Kwimba kutazama juhudi za wananchi wakichangia miradi ya maendeleo kwa kuweka nguvu zao baada ya kuona RC Mongella na Kamati yake ya ulinzi na usalama wakaamua kujiunga na wananchi kubeba mawe.
Katika kusaidiana na Wananchi Mkuu wa Mkoa John Mongella alifanya kazi ya kubeba mawe huku Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi akipasua mawe kwa kutumia nyundo.
HEKARI 8 ZA BANGI ZA FYEKWA TENA ARUSHA, VIONGOZI WATATU WA SERIKALI WANATAFUTWA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA