Taarifa kutoka Nigeria leo February 13, 2018 ni kwamba Mahakama nchini huo kwa mara ya kwanza kwenye historia imetoa hukumu ya kwenda jela mtu mmoja kwa kukutwa na hatia ya kuwa sehemu ya kikundi cha ugaidi cha Boko Haram ambacho kimekuwa kikiteka watu.
Mwanaume huyo ajulikanaye kwa jina la Haruna Yahaya, 35, ndiye mtekaji wa kwanza kuhukumiwa kifungo jela kwa kutenga makundi ya watu kwa nyakati tofauti nchini humo.
Yahaya alikiri kuhusika katika kuteka wasichana 276 ambao walikuwa wanafunzi na kueleza kuwa alifanya hayo yote kutokana na shida za maisha.
Aliyoyabaini Naibu Waziri wa Maji katika ziara aliyoifanya DSM
BOMOABOMOA: Nyumba zilizojengwa karibu na Reli zilivyobomolewa Arusha