Leo February 14, 2018 Mapambano dhidi ya rushwa yanaendelea kupamba moto ambapo Rais Mstaafu na Mawaziri tisa ambao walikuwa katika utawala wake wameshtakiwa kwa rushwa nchini Guatemala.
Alvaro Colom na Mawaziri hao wanakabiliwa na mashtaka hayo ya rushwa kufuatia kuhusishwa na ubadhirifu wa fedha wakati wakitengeneza mradi wa mfumo wa usafiri wa mabasi ya umma katika mji wa Guatemala mwaka 2010.
Waendesha mashtaka wameeleza kuwa kuna maswali mengi ya kujibiwa kuhusu jinsi serikali ya Alvaro ilipiga mnada na kukubali kutoa ruzuku ya mabasi.
Utafiti wa mapato na matumzi binafsi utafanyika katika kaya 408 Mwanza.
Aliyozungumza Waziri Mkuu katika Uzinduzi wa Jengo la hospitali ya Amana