Kukosekana kwa viwanda vinavyotoa ajira kwa wanawake wengi katika mikoa ya Lindi na Mtwara kumesababisha wanawake hao kujiari katika biashara ya uchuuzi wa samaki na kuchokoa Pweza huku wakikabiliwa na hali Duni ya maisha.
Wanawake hao wameeleza kuwa wanalazimika kufanya biashara hiyo licha kuwa na changamoto ya mnada ambapo kwa sasa umekuwa na watu wengi ambao huwalazimu kuwalipa fedha.
Leo February 22, 2018 umezinduliwa mwamba wa Songosongo na wameeleza kuwa mwamba huu utasaidia kuongeza upatikanaji wa samaki na kuongeza kipato chao.
JPM kwenye Mkutano wa 19 wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
UFAFANUZI: Tukio la Kufukua Mwili wa Marehemu, ndugu wajiridhishe