Timu ya Ayo TV na millardayo.com imefanya mazungumzo na Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi ambaye ametoa ufafanuzi wa matukio yanayoendelea kutokea ya watu kupigwa nondo na wengine kupoteza maisha katika maeneo ya Nyegezi na Mkolani mkoani humo.
Kamanda Msangi anasema hadi sasa ni zaidi ya matukio 6 yameripotiwa watu kupigwa na Jeshi la Polisi tayari linaendelea na msako mkali kubaini watu wanaohusika na wasimlaumu mtu kwa kuwa wamejenga hofu kwa wananchi wa maeneo ya Nyegezi na Mkolani.
Kitu cha kufahamu ikifika March 1, kwa wamiliki wa Magari Madogo
Hali ilivyo Rombo katika Msiba wa Akwilina, Prof.Ndalichako kuyaongoza Mazishi