Moja ya habari kutokea Dodoma leo February 25, 2018 ni pamoja na ajali ya kuungua moto hospitali ya Aga Khani mkoani humo ambapo kamanda wa kikosi cha zimamoto na uokoaji mkoani humo Regina Kaombwe akisema chanzo kikiwa ni shoti ya umeme huku akieleza kwamba kuwa hakuna kifo cha mtu kilichoripotiwa hadi sasa.
Maagizo Matatu ya Waziri Mpina kwa Katibu Mkuu, ataka yatekelezwe ndani ya wiki mbili