Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuhukumu miezi mitano Jela Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Emmanuel Masonga, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Michael Mteite ambapo amesema ameridhishwa na ushahidi wa upande wa mashtaka…. tazama hizi Picha hapa chini kutoka Mahakamani.
BREAKING: SUGU ALIVYOFIKA MAHAKAMANI, UKAGUZI ULIOPO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA