Leo February 26, 2018 Kesi inayomkabili Muigizaji Wema Sepetu imeendelea ambapo Ofisa wa Polisi WP Marry ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Wema alimwambia anatumia Dawa za kulevya aina ya Bangi kama starehe na sio kwaajili kuuza.
WP Marry ambaye ni shahidi wa tatu ameyaeleza hayo wakati akiongozwa na Wakili wa serikali Costantine Kakula, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba.
BREAKING: SUGU ALIVYOFIKA MAHAKAMANI, UKAGUZI ULIOPO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA