Leo February 26, 2018 Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa amezungumza na Waandishi wa habari kuhusu Maandamano ambayo yanaandaliwa Mtandaoni na kupangwa kufanyika nchini.
Kamanda Mambosasa amesema “Kuna kuhamasishana kupitia mitandao kuna watu wanaendelea kuhamasisha Wananchi kuvunja sheria, wanataka wajiandae kwa maandamano, wanafanya hivyo wao wakiwa wamekaa mahali ambapo ni salama”.
MAHAKAMANI: ‘WEMA KANIAMBIA ANAVUTA BANGI KWA STAREHE’ -POLISI, BONYEZA PLA HAPA CHINI KUTAZAMA